maumivu makali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paul dybala

    Maumivu makali kwenye ulimi

    Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins. Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto. Nina siku ya nne sasa.
  2. M

    Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  3. AmKATRINA

    MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

    Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya. Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita. Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza. Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata...
  4. TIASSA

    Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  5. Ancient Resident

    Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  6. baba_

    Msaada vipele huwa vinakuja na nakupotea na maumivu makali

    picha hapo chini
  7. J

    KWELI Kupata mtoto husaidia kupunguza maumivu ya hedhi kwa baaadhi ya wanawake

    Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi, kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakipata maumivu makali wakati wakuingia hedhi na kutokwa na damu nyingi na hadi kupitiliza siku 7 je shida ni nini na suluhisho ni kuzaa mapema?
  8. MAKANGEMBUZI

    Mzee wangu anasumbuliwa na miguu kwa kidonda cha 2009

    Habari zenu wataalamu wa afya na wajuaji wa mambo humu JamiiForums Iko hivi nina mzee wangu kwa sasa ana miaka 53 sio mzee sana ila ni Bonge ana mwili kama wa hayati mzee wa Lupaso. Mwaka 2009 alipata ajali mbaya ya gari alipona lakini maji ya rejeta yote yaliishia kwenye miguu yake aliiva...
  9. SSMashinji

    Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  10. Chakaza

    Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
  11. Baba Vladmir

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  12. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  13. Melki Wamatukio

    Napitia maumivu makali sana ya moyo

    Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa...
  14. OCC Doctors

    Chukua hatua kwa maumivu makali ya kifua

    Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
  15. Vincenzo Jr

    Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

    Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Dunia inarudi ilipotoka, itarudi kwa maumivu makali sana

    DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
  17. Naanto Mushi

    Kwa wale mliwahi kucheat, hivi kuna fedheha kushinda hii?

    Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga wazungu nje haooo. mapaja yote yamelowa mbegu... halafu anakuambia 'thank you baby kwa kuja' kwamba...
  18. MamaSamia2025

    Januari 5, 2011, ni siku aliyekuwa mchumba wa Dtk. Slaa alipokipigania CHADEMA kwa maumivu makali

    Januari 5, 2011 Arusha, Tanzania. Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo aliyekuwa mchumba wa Dr Slaa. Hakika ilikuwa siku ya huzuni sana. Nakumbuka mimi nilikuwa nimetoka Burka...
  19. Lexus SUV

    Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  20. Termux

    Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo, Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu. Mnamo Mwaka 2015 Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma...
Back
Top Bottom