Natumaini kwamba itakuwa ni siku njema kwenu zangu wakubwa kwa wadogo. Naomba kuwasilisha hoja yangu kwa maelezo yafuatayo:
Nina dada yangu wa miaka 25 anasema kuwa huwa anapata maumivu ya tumbo wakati anapokuwa kwenye siku zake za desturi (hedhi) na ameongeza kuwa amejaribu kutafuta tiba...