Hello ,happy new year.
Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi .
Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana .
Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10
Rudia rudia hilo zoezi...
Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea.
Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
Mimi naapa nilikuwa siwezi kula , kunywa wala kulala, meno yametoboka yanauma mno hadi machozi yanakuja mi mwanaume nakaza hakuna kulia, mishipa ya kichwa inatoka kichwa kinauma mno, nikamuuliza msela mmoja boda boda nifanyeje kupata ahueni, sidhani kama alimaliza la saba B.
Mimi nina madigrii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.