maumivu ya kifua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  2. J

    Nasumbuliwa na maumivu ya upande wa kulia eneo lote la kifua, mbavu na mgongo

    Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na kuzidi kuenea Ukisoma hizo namba 01 ndipo tatizo lilipo anzia nilianza kuhisi maumivu UPANDE huo...
  3. C

    Ushauri kuhusu afya: Maumivu ya kifua yananisumbua (2)

    Wakuu habarini. Mwendelezo: Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia. Nimesha-attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray...
  4. C

    Msaada wa kiafya: Maumivu ya kifua yananisumbua (1)

    Wakuu habarini. Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia. Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT...
  5. P

    Naomba ushauri: Ninapata Maumivu makubwa juu ya kifua, mgongo, mbavu na shingo

    Tangu 2018 nilianza kusikia maumivu ya kifua nikaenda hospital nikafanya x ray wakasema Early stage of intestinal lung disease nikapewa dawa lakini maumivu yaliendelea. Nikarudi tena kwa muda tofauti nikafanya x ray 2 kwa nyakati tofauti tatizo wakasema ni pneumonia nikatumia dawa nyingi lakini...
  6. J

    Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Wakuu Habari za mida. Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa kulia. Inafikia muda shingo inakua inauma muda mwingine inakua kama inakakamaa dizain kama nimekabwa...
  7. Spacefox

    Napata maumivu upande wa moyo, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

    Habari za humu wataalam, kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega. Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Back
Top Bottom