Habari wanajukwaa,
Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni kuanzia saa moja mpka usingizi utakapo mchukua.
Ni hali inayojirudia kila siku mpaka imefikia hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.