Habari wadau
Nisingependa nieleze sana ila kiufupi napitia wakati mgumu sana nimekuwa nikipata shoti kama ya umeme kwenye mwili wangu kwa muda sasa kwani imekuwa ikitokea mara kwa mara ambapo unaweza isikia mguuni ghafla tena baada ya muda mgongoni na maeneo engine ya mwili jambo hili...