mauritius

  1. jangoma

    Uzoefu wako nchini Mauritius

    Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na biashara.karibu.
  2. Mindyou

    Former Tanzanian Chief Justice, Othman Chande arrives in Mauritius as Head of SADC election mission

    The Head of the Southern African Development Community (SADC) Electoral Observation Mission (SEOM) to the upcoming National Assembly Elections in the Republic of Mauritius, Honourable Mohammed Chande Othman, former Chief Justice of Tanzania, arrived in Port Louis on 4th November 2024. His...
  3. Mpwayungu Village

    Kama Kuna Diaspora yupo Mauritius please nakuomba

    Nina shida ya haraka Kuna kitu nahitaji kuuliza kabla sijaja huko, please kama wapo nawahitaji either tuongee public au private yote Sawa tu Kama upo au umewahi kufika Mauritius please naomba msaada wako tuwasiliane, kama hujawah fika Ila unajua mengi kuhusu Mauritius pia ni sawa tu
  4. britanicca

    Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

    Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles ! Huyu balozi wa Tanzania nchini comoro achunguzwe Mara moja Ndo mshika account fichwa zilizobaki za Makamba na...
  5. and 300

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa...
  6. Arnold Kalikawe

    RASMI: Mauritius yahalalisha ushoga na mapenzi ya jinsia Moja

    Mahakama ya Juu ya nchi hiyo, katika uamuzi wa kihistoria wa Jumatano, ilitangaza Kifungu cha 250 cha Kanuni ya Jinai ya Mauritius, ambayo ilianza mwaka 1898, kuwa kinyume na katiba ya nchi. Sheria hii iliyofutwa hapo awali iliwatia hatiani watu binafsi na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka...
  7. JanguKamaJangu

    Mauritius yasitisha safari za ndege wakati Kimbunga Freddy kikisogea

    Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
Back
Top Bottom