mauwaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shing Yui

    Dar: Kijana auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za kuiba laki mbili

    Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2025 wakidai amewaibia kiasi cha shilingi laki mbili kwenye mkoba alipoenda kudai malipo yake. Akiongea na EATV...
  2. Mindyou

    Kwa hali ilivyo ni muda wa kuwa na Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa inahusika na Uchunguzi pekee!

    Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa "Statement" kwenye social media alafu mwishoni utakutana na sentesi ya UCHUNGUZI UNAENDELEA. Ni kama Polisi...
  3. Genius Man

    LGE2024 Rais na Viongozi wengine wa Serikali ndani ya nchi kuto kulaani mauaji yaliyofanyika kwenye Uchaguzi sio sawa

    Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa walio kufa ni ndugu zetu sio mifugo. Tuliona katika lile tukio la Zuchu kupigwa mawe na wananchi...
  4. Mkalukungone mwamba

    Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
  5. Gabeji

    Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

    Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu? Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana. Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za...
  6. KING MIDAS

    Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

    Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani. Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo ya OYA huko Mlandizi. Juma hakuwa amewakopa OYA bali ni mkewe ndiye aliyekopa OYA tena bila...
  7. Nyendo

    Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

    Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa...
  8. Mkalukungone mwamba

    Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

    Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  9. GENTAMYCINE

    Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  10. Waufukweni

    Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

    Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho. Taarifa iliyotolewa na...
  11. GENTAMYCINE

    Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  12. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  13. JanguKamaJangu

    BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  14. J

    Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao Mengine wanamwachia Allah Soma Pia: -Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali...
  15. Bushmamy

    Kilimanjaro: Mwanamke mmoja Amuua mama yake mzazi ili arithi shamba

    Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye umri wa miaka 89 ili arithi shamba. Mwenyekiti wa ukoo huo amesema ya kuwa tangu Muda mrefu Rose...
  16. Mkalukungone mwamba

    Babati: Kijana auwawa kikatili na mwili wake watupwa dampo

    Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo. Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu Hata hivyo...
  17. Webabu

    Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  18. C

    Kuna utekaji na mauwaji Kisemvule Pwani, nani anajali?

    Jana usiku wakati naongea na moja ya ndugu zangu anaishi kisemvule kwa pembe au wanaita kisemvule mpera. Tumeongea mengi pamoja na salamu za hapa na pale akanisimulia kuwa huku baba hali imebadilika sana kuna hali ya sitofahamu watu tunaishi kwa mashaka sana na watoto zenu. Kwa sababu hivi...
  19. Kaka yake shetani

    Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

    Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto. Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
  20. P

    Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
Back
Top Bottom