mauzauza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Uchaguzi huu wa Serikali Mauzauza yanafanyika hadharani hamna uwoga tena

    Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea mambo ya uchaguzi na kusema akidai kwamba chama kinawalinda watu wake na hakiwezi kukubali mtu wa nje...
  2. Nimeamkaa saa saba usiku kujisaidia haja ndogo nimesikia vishindo kama vya mtu anayezunguka nyumba yetu!

    Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu. Nimejisaidia haraka sana na baada ya kumaliza nimekimbia Hadi kwenye kitanda changu na kujifunika blanketi...
  3. Fedha za mauzauza

    FEDHA ZA MAUZAUZA 1. Tulikuwa kijiweni, tukizogoa zogoa, Umbeya tukipigieni, tukiyapisha masaa, Bia tamu tukinyweni, pia soka kichambua, Fedha za mauzauza, menitia ulemavu. 2. Mara mtu akapita, shanga nyingi zi shingoni, Kati yetu akamwita, machache kiulizweni, Akaja bila kusita, karibu...
  4. Mauzauza: Alichojibiwa Makonda kero ya Iringa ni ile aliyotishia kumpiga kibao Naibu Waziri

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi kiwanda cha karatasi mgololo ambapo kwa miaka 20 wafanyakazi hao wamekuwa wakiidai serikali mafao yao...
  5. Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  6. Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  7. Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

    Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa. Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
  8. Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

    Habari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa manani🙏 Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba...
  9. Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  10. Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  11. Mauzauza Arumeru: Mawe yanarushwa na watu wasioonekana

    Kuna matatizo ya vimbwenga katika Kijiji kimoja huko Aru meru Mawe yanarushwa na watu wasioonekana. Hii habari ipo You Tube,"Mauzauza; mawe ya ajabu,anayerusha haonekani..." Sasa hawa watu wanasema wanawashuku wageni fulani ambao wamefika pale. Kwa hiyo wanataka kupiga kura ya maoni,wafukuze...
  12. S

    Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi - haya mauzauza yanayofanywa na Serikali ya sasa sio halali

    Serikali iliyopo ipo hapo kwa kuwekwa tuseme kimabavu bila ya kutoana jasho, japo kuna waliopata vilema na waliouliwa ili Chama cha CCM kisimike serikali yake, ambayo ndio imejipa madaraka ya kuongoza wasiotaka kuongozwa na wao. Natija ni kila linalofanywa na serikali hii halikubaliki kwa roho...
  13. L

    True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  14. N

    Yanga vs Mwadui: Musa Mbisa yuko golini tutarajie vituko na mauzauza leo

    Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini. Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko daraja la kwanza na apotelee kabisa atokomee. Leo usiku yuko golini vs yanga natarajia mauzauza...
  15. Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba

    Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
  16. Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
  17. I

    Ndoa ni sanaa ya maigizo na kiwanda cha mauzauza

    Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia...
  18. M

    Madudu yanayofanywa na uongozi wa riadha Tanzania

    Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha. Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania kwani wengi wamejikita kwenye michezo mingine. Ni hivi, tangu aingie madarakani Rais wa Riadha...
  19. Msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu Romania

    Nchini Romania, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, jirani na mpaka wa nchi ya German ndiko hupatikana msitu wa wauzauza wa Hoia-Baciu. Tukiachana na msitu wa mauzauza wa Njombe tuliouzoea, msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu ni noma, hauna kuku wa maajabu, ila una maajabu ya kutisha. Katikati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…