Nifah na wanajf wenyeji wao mzito imekuwaje Mauzinde katua Canada bila masikio? Nani mfadhili? Kasema atafanya bonge la party ya kukatwa masikio.
Au kukatwa masikio ilikuwa mchezo ili apate ufadhili? Mbona ghafla jamani?
PIA SOMA
- Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni
Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.