Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko.
Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style...
Mume wako anakuambia mke wangu leo tutoke tukapate hata dinner nje, wewe unajidai wife material unamwambia mtapoteza hela bora mpike nyumbani. Siku nyingine anakuambia mtoke hata mkamwagilie moyo kidogo kama kawaida wife material unakataa unamwambia ni bora mnunue mmwagilie nyumbani.
Unamwambia...
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani.
Kuna wanawake bila nguo mpya anaona ibada kwake haina maana(mashindano ya mavazi). Kuna wanake bila wigi jipya anaona ibada haina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.