Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa.
Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...