Tuna wakati mgumu kwa wasomi,wabunifu na n.k taifa ili la tanzania watu kujua wao nani.
Leo nimekutana kwenye mtandao ambao unatoa mawazo ya ubunifu kwa kila lanyanja.
Kitu kilicho nifumbua upande wa wauza nguo au wabunifu wa nguo wanashindwa kujua ni nguo gani upande wa wanawake zinaweza...