Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo:
Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...