mavuno

  1. matunduizi

    Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  2. L

    Mradi wa teknolojia ya kilimo kutoka China waongeza mavuno katika nchi za Afrika

    Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari moja mwaka 2023 hadi tani 8 kwa ekari moja mwaka huu, ikiwa ni karibu mara nne ya mavuno ya mwaka...
  3. Bushmamy

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
  4. Mr mawaya

    SoC04 Jinsi kunufaika na mavuno ya VETA kwa Serikali

    UTAGULIZI VETA ni moja ya taasisi zinazo milikiwa na serikali ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania,veta ni tasisi ambayo unazarisha watoa huduma na mafundi wa fani mbalimbali. Mafundi wa veta wamafundishwa vizuri kulingana na maitaji yetu. Pia veta unazarisha mafuti wenye uwezo wa kufanya kazi...
  5. aBuwash

    Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  6. Tlaatlaah

    Kama hali ya hewa itaendelea hivi, itakua ni neema kwa wakulima wakati wa mavuno

    katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini.. karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini...
  7. KAWETELE

    Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

    Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume. Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu. Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano: 1. Tegemeza jimbo 2. Miito mitakatifu 3. Sadaka za kawaida 4 mchango wa pili 5. Bahasha za Noeli/Pasaka 6. 7. 8. 9. Kisha...
  8. Stuxnet

    Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania. Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
  9. incinc

    Tunaelekea muda wa mavuno mikoani

    Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara kiwepesi...mfano SINGIDA kijiji cha maluga... Muda wa mavuno wa alizeti wanakuwa na uhitaji wa madumu ya...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

    Kwema wakuu! Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani. 1. Mliambiwa Mwanamke anatakiwa Aolewe akiwa Bikra, mkasema bikra haimfanyi...
  11. T

    Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  12. Wakusoma 12

    Wakuu msimu wa kilimo umeshaanza. Twendeni shamba ili msimu wa mavuno tusiilaumu Serikali

    Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
  13. L

    Watu wa kabila la Wamiao nchini China washerehekea mavuno

    Kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa mkoa wa Guizhou, China watu wa kabila la Wamiao walivaa mavazi ya kijadi na kusherehekea mavuno.
  14. Kibosho1

    Hoja: Sio kila anayelia na kuumia anastahili huruma, ni mavuno yake hayo

    Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu. Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii; 1. UHALIFU Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
  15. D

    Tutofautishe bei ya mazao, wingi wa mavuno na kuuza mazao nje ya nchi

    Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread. Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo. HOJA KUU Watu...
  16. Sky Eclat

    Nimelima ekari tano za mihogo, itakuwa tayari kwa mavuno mwezi wa Ramadhani

    Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
  17. P

    Chama chochote kikipata wahamiaji, hasa kutoka CCM na kuwatanya kuwa viongozi wakuu katika chama, mavuno yake yanauma sana!

    Wasalaamu wana JF Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum. Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
  18. MPUNGA MMOJA

    Heka 1 ya alizeti mavuno kg 800 ~ 1000 bila kutumia mbolea

    Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya. Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia "Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na...
  19. T

    Tutaenda kuvuna mavuno na kuyaacha magugu 28/10/2020

    Na: Sauti ya Mdodomia 20/08/2020 Dodoma. Ukiachilia kelele mbalimbali ambazo watanzania wamekuwa wakizisikia kutoka kwa vikundi vya watu wachache nchini. Lakini watanzania watamchagua yule wamtakaye kwa manufaa yao na manufaa ya Taifa lao la Tanzania. Watanzania baada ya kusikiliza kwa makini...
  20. L

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
Back
Top Bottom