mawakala wa utalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    Mawakala wa Utalii wataka KIPAP ifutwe, inachafua taswira ya utalii nchini

    Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro ,wameitaka serikali kuifuta mara moja Taasisi isiyo ya kiserikali iitwayo Kilimanjaro Porters Assitance Project (KPAP)kwa kile wanachodai taasisi hiyo inachafua taswira ya biashara ya utalii nchini. Wanadai kuwa, KPAP inaeneza propaganda chafu za kuwachafua...
  2. Ndagullachrles

    Mawakala wa Utalii wapaza sauti Taasisi ya Kilimanjaro Porters Assistance Project (KIPAP) inavyowachafua huko Ulaya

    Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro, wameitaka serikali kufanya uchunguzi na kutoa tamko rasmi juu ya uwepo wa Taasisi moja inayoendesha harakati za kuwachafua kwa mawakala wa Utalii Ulaya. Taasisi hiyo iiitwayo, Kilimanjaro Porters Assistance Project (KIPAP) imetoa orodha ya makampuni ya...
Back
Top Bottom