Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro ,wameitaka serikali kuifuta mara moja Taasisi isiyo ya kiserikali iitwayo Kilimanjaro Porters Assitance Project (KPAP)kwa kile wanachodai taasisi hiyo inachafua taswira ya biashara ya utalii nchini.
Wanadai kuwa, KPAP inaeneza propaganda chafu za kuwachafua...