mawasiliano katika mahusiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. that manzi

    Umempigia mpenzi wako?

    Habarini za jioni, Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi? kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi...
  2. Etugrul Bey

    Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

    Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?" Wakati unatafakari juu ya jambo hilo la mwamba, nami nimejikuta natafakari yangu. Kuna mrembo mmoja alikuwa anaitwa Zawadi. Hatukuwahi...
Back
Top Bottom