Habarini za jioni,
Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi?
kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi...
Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake.
Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.