Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali, Vita za taifa na taifa Israel na Hamas.
Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna kumpumzika kwamba mnaingia zamu zamu wanajeshi.
Ikiwa ndivyo je kwa siku za kupumzika kunakuwa na...