Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-
1 . January Makamba
2. Mwigulu Mchemba
3. Nape Nnauye
Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo .
Soma pia: Uteuzi: Abubakar...
Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.
Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa kwa Asilimia kati ya 75-80% katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.