mawaziri wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania SGR kuvuka mipaka: Mawaziri wa Tanzania, Rwanda na DRC wakutana kuweka mustakabali mpya kiuchumi

    https://youtu.be/03vJQKnKpZ4
  3. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Korea Wakutana, Kushirikiana Katika Ujenzi wa Miundombinu

    MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU. Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna baadhi ya Mawaziri wana uwezo mdogo, Wenzetu Kenya Rais kavunja Baraza zima la Mawaziri

    Mawaziri wengi wa Tanzania wana uwezi mdogo sana wa kufanya kazi, Ila wanabebwa kwa sababu za kisiasa tu. Kule Kenya, Ruto kavunja Balaza la Mawaziri na anatarajia kutangaza Baraza jipya siku chache zijazo. Haya ni maamuzi Magumu sana ambayo kwa nchi ya kubembelezana kama Tanzania huwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…