Kipigo cha bao 1-0 kwenye derby ya Kariakoo kimewaibua Wazee wa klabu ya Simba, ambao sasa wametoa siku saba kwa mawaziri ambao wanawashutuma kwa kile wanachodai kuwa ni hujuma dhidi ya klabu yao. Wazee hao wanadai kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali, TFF, GSM na Yanga walihusika katika mpango...