Hello!
Kitambaa gani cha sofa kizuri ambacho rangi ya ung'avu inadumu kwa muda mrefu.
Kitanda gani kizuri kati ya kile chenye uvungu na kisicho na uvungu (kitanda cha box)?
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa mkutano huo kutumia jukwaa hilo kikamilifu kwa kuimarisha ushirikiano...
Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International.
Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
Mazoezi ya kupumua: Mbinu kama vile kupumua kwa kina au kutafakari zinaweza kusaidia kupunguza mkazo na kuweka akili yako kwenye sasa.
Shughuli za kimwili: Mazoezi ya kawaida yanaweza kusaidia kupunguza wasiwasi na kuboresha hali yako ya kihisia.
Kuwa katika mazingira tulivu: Tafuta mahali...
TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA.
Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.