Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu...
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
Anaandika Kenge
Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka
Kuuza la Nguo
Kuuza Viatu
Kuuza simu,charger,Makava
kufuga kuku
kuuza Nafaka
KUuza...
Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza.
Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine.
Uzuri wa kuanzisha biashara mpya unapata jina haraka sana (Monopoly) na uta enjoy super abnormal Profits...
Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
PATA MAWAZO YA BIASHARA HAPA(HASA KWA WAJASILIAMALI).
Andiko la leo, nitaongelea kuhusu biashara mbalimbali ambazo mtu mwenye mtaji uwe mkubwa au mdogo anaweza kuwekeza. Hivyo jongea katika huu ukurasa upate au uongeze maarifa juu ya biashara mbalimbali. Nitaanza kwa kuorodhesha biashara hizo...
Mjinga
Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa.
Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu.
Wafanyabiashara wenzake...
Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya?
Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
biashara
dar es salaam
developer
faida ya website
faida za website
gharama za kuanzisha website
jinsi ya ku host website
jinsi ya kutengeneza website
jinsi ya kutumia wordpress
mawazoyabiasharamawazoyabiashara pdf
mfano wa website
umuhimu wa website
wazo la biashara
website
website designer
website ni nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.