Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2...