Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...