mawigi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Kapteni Traole apiga marufuku Majaji nchini Burkina Faso kuvaa Mawigi yanayofanana na Majaji wa Ulaya

    Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye mfumo wa mahakama wa taifa hilo. Mawigi hayo yalianzishwa na wakoloni kama sehemu ya mavazi rasmi ya...
  2. J

    Nauza midoli ya kuuzia/kuvalishia mawigi

    Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara. Nipo Goba Dar-es-salaam. 0713794962 bei ni 9000tsh kila mmoja
  3. S

    Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  4. R

    Kwanini nywele za mawigi au rasta huoneka smart kuliko nywele natural?

    Wakuu, Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa smart. Siku mwenye natura akisuka rasta anaambiwa sasa leo umesuka? Kwanini iko hivi? Lakini pia...
  5. carnage21

    Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

    Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa. MY TAKE Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
  6. True Man11

    Nauza Wigs Original na human hair kwa bei rahisi

    Habari za majukumu, Nauza wigs original 100% Human Hair kwa bei rahisi saana Human hair with frontal lace Rangi ni black na brown. Ni original kabsa, unaweza Kupasi Kutong Kubadilisha rangi Kuweka mitindo unayotaka. Bei 140,000/= Bei 120,000/= kuanzia pice 5 Napatikana kimara Dar es salaam...
  7. Poker

    Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

    Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu. Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi mzima. Mpaka yale ma nzi makubwa yameshaanza kuzungukia hapa. Khaa! This is too much now!
  8. bahati93

    TANU ya Nyerere waliwahi kupiga vita mawigi na vimini

    Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo mwaka 1975 serikali ya TANU ilikaa kujadili juu ya kile walichoona kuporomoka kwa maadili. Vitu...
  9. Zurie

    Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja, Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
Back
Top Bottom