Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...