Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa macho, na mara nyingi huwaweka wahuzunikao kwenye hatari ya kupata sononi na madhara mengine ya...