Nitangaze interest zangu kwanza huwa Sina muda wa kwenda bar au vijiweni kuchapa stori na kutumia pesa, (tatizo ni muda kazi ni nyingi kuliko muda), so huwa napita pita mara moja moja hasa bar, kwa mwezi naweza kwenda mara mbili nk, Jana jioni nimepita zangu bar kama mbili na nikapita mtaani...