maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Online Human Rights Defender and Executive Director of Jamii Forums, an NGO that promotes and advocates for Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability and Good Governance. He is enthusiastic, creative and passionate about the promotion and protection of Online Freedom of Expression and Privacy.

His JamiiForums journey

He is also a digital innovator and an “Information Architect” who found JamiiForums.com, the most visited website in Tanzania. JamiiForums.com exists to inform rather than to censor, to unite rather than divide, to debate rather than ignore, and that will protect those who are courageous enough to expose the truth that the powerful would rather hide. Maxence believes that Whistleblowers play critical roles in any system.

As a certified Digital Security expert, he helps Human Rights Defenders in Tanzania to remain safe while using digital platforms. Professionally as a Civil Engineer, he worked for 8 years as a Building Economist with a Class I Construction Company in Tanzania. He supervised mega projects in Tanzania between 2002 and 2010.

Maxence has played an enormous role in making the Jamii Forums platform revolutionize online information, the state of Freedom of expression, promotion of transparency and accountability in Tanzania. He is also a member of the Forum for African Investigative Reporters.

He is an alumni of the International Visitor Leadership Program (IVLP) by the U.S. Department of State (2017) and Stanford Seed, a program that parters with entrepreneurs in emerging markets to build thriving enterprises that transform lives.

At an international level, Maxence has been recognized by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 but also by H.E President Muhammadu Buhari of Nigeria for strengthening the viability of Whistle-blowing Policy tools in Africa.

Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ), Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.

He is married with three children.
  1. Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

    Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)! Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
  2. Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
  3. Deni la Taifa: Kukopa sio tatizo, lakini tumefanyia nini huo mkopo?

    Binafsi nimepata mshtuko mkubwa baada ya kuona ongezeko kubwa la deni la taifa kufikia trillion 91 kutoka trillion 60.9 mwezi April 2021 wakati Samia anashika madaraka. Kwa hesabu ya haraka ni kwamba kwa mwaka mmoja serikali ya Rais Samia imekopa trillion 30 kiasi ambacho kimevunja rekodi kwani...
  4. Maxence Melo: Hakutakuwa na haja ya visimbuzi vingi tena baada ya miaka 5

    Awali, Mkurugenzi wa JamiiForums aliulizwa swali na mtangazaji wa EATV kuwa, mwaka 2020 alisikika akisema kutakuwa na mawasiliano bila kuhitaji line za simu, mtangazaji akasema inawezekanaje mtu kupata mawasiliano, kulipa bills nk bila kuwa na line za simu? Akijibu swali hilo Mkurugenzi...
  5. Maxence Melo: TCRA sikilizeni pande zote kabla ya maamuzi. Sheria na Sera za Nchi zilenge kuchochea Uchumi wa Kidigitali

    Baadhi ya masuala aliyoongelea Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo, katika warsha ya kukuza maudhui ya ndani yaliyofanyika TCRA. Kukosoana si kubaya Ukosoaji uwe wa pande mbili, kama kamati inavyokosoa watengeneza maudhui na wao pia wakubali kukosolewa, lakini kukosolewa huku kuwe...
  6. Maxence Melo: Tunaandika barua kwenda Google ili itambue maudhui ya lugha ya Kiswahili

    Picha: Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamiiforums Maxence Melo amesema taasisi hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Habari na Mawasiliano wapo kwenye hatua za mwisho za kuiandikia barua kampuni ya Google ili iweze kuitambua lugha ya Kiswahili katika utoaji wa maudhui. Amesema kwa sasa...
  7. Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  8. Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za Watanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022. === Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
  9. Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo anazungumza ndani ya Ugali wa Taifa ya Clouds TV, Juni 30, 2022

    Maxence Melo amesisitiza suala la JamiiForums kutaka kujitanua na kuzifikia nchi nane za Afrika ili kuwapa watu wa nchi hizo huduma ambayo watanzania wamekuwa wakiipata pia kukuza Kiswahili. Suala la umuhimu wa faragha ni suala alilozungumza kwa undani akitaja mfano wa watu kuandika majina...
  10. DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  11. Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  12. Maxence Melo: Tulipata changamoto kuhusu Sera yetu ya Faragha na haikuwa rahisi kufanya kazi na Serikali

    Mkurugenzi wa Jamiiforums leo ameongelea mchango wa dijitali kwenye demokrasia ikiwemo walipofikia na changamoto zake kwenye mjadala uliofanyika Msasani, Dar es Salaam. Maxence Melo: Tulipata changamoto sana kuhusu Sera yetu ya Faragha lakini kwa sasa tumeshaandaa Muswada mbadala wa Sheria ya...
  13. Mazungumzo: Jinsi dijitali inavyoweza kukuza Demokrasia Tanzania

    Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza...
  14. JamiiTalks Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  15. Maxence Melo na JF ni underrated. Wapewe heshima wanayostahili, wao ni zaidi ya akina tiGO, Voda na wengine

    Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine. Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao. Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi. Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
  16. U

    Ni wakati muafaka kwa Serikali kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa kwa Maslahi mapana ya nchi yetu

    Ndugu zangu wa JF Naongea kwa upendo na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu ya Tanzania Namzunguzia Ndg Maxence Melo Huu ni wakati muafaka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua na kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa. Amekuwa na Utumishi uliotukuka akiwa Mtendaji...
  17. Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
  18. SoC01 Majigambo ya nahodha na dereva

    MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA. NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!! Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha, Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha, Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha, Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni. DEREVA: kazi yenye heshima…!!! Udereva ni heshima...
  19. SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Karibuni Sana kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo. Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~ BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU...
  20. Ushauri: Serikali iboreshe Elimu iwe na tija kwa mhitimu

    MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO) Mhe Waziri, Heshima kwako.................... ….. Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala" Ni matumaini yangu u mzima wa afya tele, kama nakuona vile unavyozunguka zunguka katika kiti cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…