Kwa watu wengi leo hii JF ni platform wanapopatia elimu mbalimbali kuhusiania na siasa, historia, burudani, sheria, technolojia, uraia na kadhalika. Kuna eneo moja ambalo ninadhani sasa ni wakati wake kulifungulia jukwaa maalum, yaani mazingira na mambo mengine ya asili. Modereta, tafadhali...