maxmalipo

  1. K

    MaxMalipo, kampuni iliyoshindwa kuinovate.

    MaxMalipo ilikuwa moja ya kampuni zinazofanya vizuri kwenye tech space in Tanzania. Ila kwa sasa ni kama inaelekea kufa hivi. The payment industry ni moja ya industry inayokua kwa kasi, hasa hasa ikichangiwa na ukuwaji wa internet, more specifically ecommerce. Hii ni kampuni ambayo ilikuwa na...
  2. Freightliner

    Tatizo la mashine za Maxmalipo naomba utatuzi

    Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa wa maxmalipo bado wapo? Namba zao nikipiga hazipokelewi je napataje msaada?
  3. D

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
Back
Top Bottom