MaxMalipo ilikuwa moja ya kampuni zinazofanya vizuri kwenye tech space in Tanzania. Ila kwa sasa ni kama inaelekea kufa hivi.
The payment industry ni moja ya industry inayokua kwa kasi, hasa hasa ikichangiwa na ukuwaji wa internet, more specifically ecommerce.
Hii ni kampuni ambayo ilikuwa na...