Wakuu,
Hivi karibuni nimeona miradi mingi ya barabara inazinduliwa kwenye sehemu mbalimbali za Tanzania. Kila kitu cha habari ni wabunge na Mameya wa CCM wakizindua miradi mbalimbali ya barabara.
Walikuwa wapi miaka 4 iliyopita au ndo fedha zimepatikana sasa hivi...