Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali
Ni kaa la moto!
Hakuna mtu anaetaka kuligusa.
Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba ardhini, yenyewe unaweza kuigusa, kuichezea na hata kuing'oa wakati wowote ili mradi treni halipiti na...