Rais Samia amesema mazao ya Mahindi na Mpunga Sasa ni rasmi mazao ya biashara sio ya Kilimo pekee kama hapo awali hivyo Serikali inayachukulia kama mazao ya kimkakati yanayoweza ingizia Serikali pesa za kigeni Kwa haraka..
My Take
Tuendelee kulima Mahindi na Mpunga,Kwa awamu ya 6 ni Neema...