Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.
Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye...