mazda demio

  1. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. Mnyenz

    Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  3. B

    Ushauri kati ya gari aina ya Nissan Note, Honda Fit na Mazda Demio

    Habari zenu wana JF, nataka kununua gari kutoka Japan, ila sijawahi kumiliki gari lolote, nilipo angalia mtandaoni niliona magari niliyotaja hapo juu yako affordable kwangu,je ninunue gari gani kati ya hayo. NB. Gari ni la kwenda nalo kazini 3km per day, na pia kabisan. Karibuni kwa ushauri...
Back
Top Bottom