Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri.
Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe but wanadai 2015,2016 haina hzo shida
Wajuzi wa mambo msaada wenu je ni kweli hzi sio sumbufu kama...