Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.
So...
Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania.
I told him " Sundu Meru".
( Wajaluo wakina popoma wa Bunda vijijini wanajua nini maana ya " Sundu Meru")
Huyu jamaa tulikuwa tunabishana sana...
Huko tuendako utasikia vumbi la upako toka Maka
Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa kuangukia mle mle.
Kuna muislamu mmoja sababu ya kuwa na mahaba na Mazinge akakanusha. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.