Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo.
Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana...
TANZANIA TUITAKAYO
The environment is an intricate web of natural elements, including air, water, soil, flora, and fauna, all interdependent. Human activities have increasingly disrupted this balance, leading to environmental degradation. Pollution, deforestation, and unsustainable resource...
TANZANIA TUITAKAYO
Katika ardhi ya Tanzania, kulikuwa na kikundi cha vijana wenye moyo wa kipekee na maono makubwa.
Walikusanyika pamoja kwa lengo moja: kubadilisha mazingira na kuleta maendeleo ya kudumu kwa kutumia ubunifu wao, Greenfuse Charcoal.
Baltazary, Gabriel, Veronica, Dorah, na...
Tunapotarajia mustakabali wa Tanzania, ni muhimu kutengeneza dira ya kina na ya mbele inayoshughulikia sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. Lengo ni kuunda taifa lisilojitegemea tu bali pia kiongozi katika ubunifu na maendeleo endelevu. Dira hii...
Ni dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna soko, duka au masoko ya bidhaa mbalimbali yamafunguliwa.
Hizi zote ni ajira zinazotokana na fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.