Siku hizi maisha yamekuwa kama mashindano ya marathon – unakimbia tu bila pumziko. Mara unakuta kila siku umeamka mapema, unakimbizana na muda, ukirudi nyumbani usiku umechoka, na wakati mwingine hata weekend hakuna kupumzika. Sasa hivi, ni kama vile kila mmoja wetu anataka “kufanikisha ndoto”...