Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti bubu katika masoko, fremu za maduka na vibiashara ndogondogo zinadhibitiwa.
Kwa sasa wauza sumu ya...
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka kushindwa kuwajibika kuzingatia usafi wa mazingira katika eneo hilo.
Ni zaidi ya Wiki mbili sasa...
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao hali inayopelekea takataka kutupwa katika barabara za mitaa.
Taka kuwekwa maneo holela ambayo sio...
Anonymous
Thread
mazingira hatarishi
mazingiramachafu
uchafuzi wa mazingira
utupaji taka
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika.
Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷
1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na...
Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku.
Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana.
Hii ni aibu, Uongozi wa...
Anonymous
Thread
aibu
dodoma
kuu
mabasi
mabasi dodoma
mazingiramazingiramachafu
stendi
stendi kuu
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.
Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?
Ni hayo tu
Wadiz
Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wawe na vyoo bora, lakini wao kwenye ofisi zao binafsi ni chafu, sink limefubaa hata mhudumiwa anastaajabu.
Lakini leo, hiki ni choo cha Ofisi ya Kata Mshangano. Tazama picha hapa ndani, chooni na ofisi ipo pembeni. Serikali chukueni hatua.
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua.
Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.