1: Barabara Mbovu na Mashimo Yasiyozibwa
Mara tu unapoingia kupitia geti kuu la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pale mwanzo kabisa,(njia panda ya chuo) hali ya barabara sio nzuri sana . Barabara ina mashimo mengi, jambo linalosababisha usumbufu mkubwa kwa waendesha magari, pikipiki, na hata...