Kuna maeneo mengi Serikali imekuwa ikitekeleza miradi lakini uenda sio jambo la kushangaza kuwakuta wananchi wengi wanaozunguka maeneo ya miradi husika wananungunika au wanashindwa kuithamini wazi wazi na kuwa waangalizi au mabalozi wa miradi hiyo haswa kutokana na maslahi yao kutozingatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.