Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao.
Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika.
Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
dar es salaam
fursa kwa wawekezaji
fursa uwekezaji tanzania
fursa za uwekezajimazingirayauwekezajiuwekezaji afrika
uwekezaji dar
uwekezaji tanzania
wawekezaji