mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  2. Tanzania yaihakikishia UAE mazingira salama ya Biashara, Uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
  3. R

    Jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule ni la nani?

    Wakuu, Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi? Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
  4. Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  5. Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

    TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
  6. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  7. Maisha na uhai hujitengeneza vyenyewe kulingana na mazingira (supernatural power ipo lakini dini ni ulaghai)

    Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu). Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika. Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato...
  8. S

    Wananchi wa DSM mnachoringia ni hayo mazingira ya kukaa katikati ya maji ya machafu?

    Kumekuuwa na posts humu JF kutoka kwa wanaojiita wakazi wa DSM kuvamiwa na ndugu zao kutoka mikoani bila taarifa, wakidai wanawapigia simu tayari wakiwa stand ya Magufuli na mifuko yao ya kaja shangazi. Wengine wanalamikia kujaziwa jiji lao nzuri na watu wa mikoani. Kwanza km siyo Magufuli...
  9. Refa anayechezesha gemu ya Mamelodi vs Atletico de Luanda anajaribu kuwatengenezea mazingira Al Ahyl ya ubingwa

    Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume wao Masandawana Huwa tunajipigia nje ndani Refa tunakuangalia kwa jicho la mwewe Ombeno Mamelodi...
  10. Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira

    Naibu Waziri Khamis Chilo Ahimiza Utoaji Elimu ya Mazingira Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewahimiza maafisa mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wananchi ili kuepusha athari za mabadiliko ya...
  11. A

    DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  12. Kutunza fukwe za bahari ni muhimu kwa sababu fukwe hizi ni mazingira muhimu. Kutunza fukwe za bahari kunaweza kufanyika kwa njia kadhaa

    Kuelimisha Jamii: Elimisha wakazi wa pwani na watalii juu ya umuhimu wa kutunza fukwe za bahari na mazingira ya baharini. Watu wenye uelewa zaidi wanaweza kuchukua hatua bora za kuhifadhi. Kudhibiti Uchafuzi wa Bahari: Kuhakikisha kwamba maji taka na kemikali zinazotiririka baharini haziharibu...
  13. D

    Gumzo: Makatibu CCM Singida Wasafirishwa na Mfanyabiashara kwenda Arusha kuandaa Mazingira ya Kuchukua Jimbo 2025

    Huko Mkoani Singida Makatibu wa CCM kata wilaya ya Mkalama inasemekana walisafirishwa na mfanya biashara ajulikanae kwa jina la Baraka Kwenda jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni moja ya ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ndani ya CCM pia ni ajabu kwa Uongozi wa CCM...
  14. Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  15. Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  16. F

    Aliyepo Mtwara amesomea mambo ya ustawi wa jamii au mazingira na smart upstairs na well presentable anicheki

    Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo. Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe Mtwara mjini. UPDATE: Nimeshapata
  17. Viongozi wa Dini wahimizwa kuwahamasisha Waumini kutunza mazingira (ujumbe katika Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya)

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa viongozi na Taasisi za Kidini Nchini kushiriki ipasavyo kuhimiza utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza. Naibu Waziri ametasema hayo Septemba 30, 2023 Ilala, Jijini Dar es...
  18. Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

    Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana? Rejea, akufaae kwa dhiki.
  19. Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  20. Afya ni mtaji lakini katika mazingira machafu pesa inakuwa mtaji wa kutafutia afya

    Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wawe na vyoo bora, lakini wao kwenye ofisi zao binafsi ni chafu, sink limefubaa hata mhudumiwa anastaajabu. Lakini leo, hiki ni choo cha Ofisi ya Kata Mshangano. Tazama picha hapa ndani, chooni na ofisi ipo pembeni. Serikali chukueni hatua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…