Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni karibu asilimia 20 ya wachina wote. Kutokana na maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na teknolojia, umri...